Nyimbo ni njia ya pekee kuonyesha utamaduni wa jamii. Sikiliza nyimbo na furahia sauti nzuri za Waburunge.
1. Jamani tusome hiki kitabu cha Yona! | 2. Yona alipotumwa kwenda Ninawi | 3. Jamani, alitumwa Yona kwenda Ninawi | 4. Neno la Mungu Ilimjia Yona | 5. O Yona alimezwa na samaki! | 6. Maamuzi ya Yona yalikuwa njia panda | 7. Yona alivyomezwa baharini | 8. Mfano wa Yona ni fundisho kwetu | 9.Alikuwa msichana mmoja katika mji wa Moabu, jina lake Ruti | 10. Jamani Huyu mtu ni Elimeleki | 11. Ruti ni msichana mwenye moyo mzuri | 12. Kule katika mji wa Bethelehemu alikuwepo | 13. Wakati Yesu alipomaliza kazi | 14. Damu ya Yesu ni dawa ya dhambi | 15. Twendeni kwa Yesu | 16. Mungu ndiye anayetulinda sisi | 17. Watu wote tumwombe Mungu! | 18. O Mungu! Utuchunge sisi | 19. Samsoni alimuona mwanamke kule Timna