Hadithi ya kweli - Krismasi

Krismasi ni kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu zaidi ya miaka 2,000 iliyopita.  Mungu alimtuma Yesu kama zawadi kwa watu kuwaonyesha upendo wake kwao.  Sikilizia kuhusu kuzaliwa kwa Yesu katika lugha ya Kiburunge.

 

Thumbnail image