Kitabu cha Ruthu

Kitabu cha Ruthu kinasimulia hadithi ya upendo. Kinaonyesha uaminifu na upendo wa Mungu kwa watu wote. Mungu anawajalia wanaume na wanawake kutoka kwa watu wa mataifa yote. Bonyeza hapa chini kusikilizia au kupakua historia ya Ruthu katika Kiburunge.

Thumbnail image